KUHUSU UJUZI ACADEMY

Ujuzi academy ni platform inayowakutanisha wataalamu wa masuala mbalimbali ya kimaisha hasa wataalamu wa masuala ya kifedha na uwekezaji kwa lengo la kutoa ujuzi wao wa mambo mbalimbali kama vile namna ya kupata pesa mtandaoni na fursa mbalimbali za kiuchumi.

ujuzi academy inajiendesha kwa kutoa mafunzo mbalimbali yanayowasaidia vijana kuweza kujikwamua kiuchumi na kuongeza kipato chao