You are currently viewing Aina ya blog za kuanzisha Tanzania (2020)

Aina ya blog za kuanzisha Tanzania (2020)

Blog ni nini?

Kumiliki blog ni fursa nzuri kwa kijana wa Tanzania ambapo blog inakuwezesha kuingiza kipato kupitia matangazo ya  internet , pia blog inakuingizia kipato kupitia madeal mabalimbali pia blog inakupa wadhifa katika jamii kwaa kumiliki blg husika.

Kwenye makala hii nitakupa mrejesho kuhusu aina ya blog zinazofaa kuanzishwa (niche) Tanzania (2020)                          Aina hizi zinazingatia mambo yafuatayo

 

  1. Kiwango cha ushindani
  2. Gharama za kuanzisha
  3. Urahisi wa kuiendesha
  4. Kiasi cha mapato
  5. Urahisi wa kuikuza (ku promote)

Aina ya blog zifuatazo zinafaa kuanzishwa nchini Tanzania

  1. Blog ya muziki: hii ni aina ya blog ambayo ni rahisi sna kuanzisha na kuiendesha, blog hii inaingiza pesa nyingi kwa sababu nyimbo mpya zinatoka kila siku na muziki ni maisha ya watu hivyo uhitajikaji wake wake ni wa kila siku, kwahiyo watu wataingia kila siku iwapo kama utapost kila siku, pia gharama za kuendesha blog ya mziki ni za kuwango cha chini sana kwa vile utapata mziki bure toka vyanzo mabalimbali kama vile youtube, boom play n.k

 

  1. Blog ya habari: blog ya habari inakuwezesha kuingiza kipato kwa urahisi kwa kupost habari kutoka vyanzo mbalimbali kupitia blog ya habariutaweza kupata wadhifa katika jamii kwa kuwa mmiliki wa blog inayotoa taarifa za kila siku kwa umma, blog hii haina gharama za ziada za kuiendesha hivyo utalipia tu gharama za hosting za kila mwezi ambazo hazizidi elfu thelathini (30,000) kwa mwezi.

 

  1. Blog ya michezo: aina hii ya blog inafaida nyingi sana pia inafaa kwa kijana wa kitanzania kuimiliki kwa sababu matukio ya kimichezo yanatikea kila siku ambapo inapelekea kijana kuingiza kipato kwa urahisi kupitia kumiliki blog ya namna hii ni vyema kwa kijana wa kitanziani mwenye lengo la kijiajiri, bloging ni kazi inayowaingizia bloggers mamilioni kila mwezi kwa hiyo ni fursa kwako kumiliki blog yako sasa

 

Pata ofa ya kutengenezewa blog kwa gharama nafuu kuanzia 70000/= tu  bofya hapa kupata ofa

Leave a Reply