tunaamini ujuzi ndiyo kitu pekee kinachoweza kumletea maendeleo ya kweli mtu yeyote, hivyo basi tunatoa mafunzo hili mradi watu wajifunze mbinu mbalimbali za kujiingizia kipato na kupata maendeleo.
Ujuzi academy ni platform inayowakutanisha wataalamu wa masuala mbalimbali ya kimaisha hasa wataalamu wa masuala ya kifedha na uwekezaji kwa lengo la kutoa ujuzi wao wa mambo mbalimbali kama vile namna ya kupata pesa mtandaoni na fursa mbalimbali za kiuchumi.
ujuzi academy inajiendesha kwa kutoa mafunzo mbalimbali yanayowasaidia vijana kuweza kujikwamua kiuchumi na kuongeza kipato chao
copyright ©2022 ujuzi academy